KAMISHENI YA UKUBWA WA KUNDI

LIMBIKIZO LA FAIDA
Limbikizo la faida linaninufaishaje?
Trévo inahakikisha kuwa unapokea faida kubwa kwa mwezi kadri iwezekanavyo.
Hivi ndivyo inavyofanya kazi:
Unalipwa kamisheni au faida ya mwezi katika makundi yako 8 ya kwanza. Bila kuunganisha,yoyote
kati ya makundi yako 8 ambayo sio katika mzunguko wa moja kwa moja, yanatolewa katika faida
au kamisheni yako. Kama itajumlishwa na faida au kamisheni ya mwezi, wale mawakala ambao
makundi yao hayapo katika mzunguko, yanatolewa katika mfumo huo wa mzunguko na makundi
mengine yaliyo chini yake yanapandishwa juu ili kujaza nafasi za madaraja ya makundi nane.
Hii inakuruhusu wewe kupata kamisheni au faida katika makundi 8. Baada ya kulipa kamisheni,
makundi yako 8 yanarudi nyuma kwenye nafasi yaliyokuwepo kabla ya kamisheni.


Hakuna maoni: