Trévo LLC inakupa uwezo wa kupata kipato kikubwa kama muuzaji
wa rejareja kwa kununua bidhaa nzuri za jumla na kuwauzia wateja wa
rejareja kwa faida kubwa. Ukiwa kama Wakala (Life and Health Coach)
wa Trévo unaweza kujipatia mpaka 40% ya faida kwa kusambaza
bidhaa zetu za Trévo zenye virutubisho. Vile vile unaweza kuwasajili
wateja unaovutiwa nao na kupata bonasi nzuri kwa kila manunuzi
watakayofanya wateja hao. Bonasi za wateja hao zinalipwa katika
makundi yote nane ya mpango wetu wa fidia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni