FAIDA/ KAMISHENI YA UKUBWA WA KUNDI

Trévo inawazawadia viongozi wa Mawakala (Life and Health Coach) wa nyanja husika kwa ajili ya jitihada zao binafsi katika kujenga, timu ambazo zina msisimko, zina hamasa na zinazokua. Tunaamini kuwa njia nzuri ya kukupongeza ni kwa kukusaidia wewe kutengeneza kipato kizuri cha mwezi. Kwa kuzingatia sifa ya ukubwa, Trévo inalipa kamisheni au faida kubwa ya ukubwa wa kundi ambayo inaweza kufikia kiwango cha kustaajabisha. Vile vile hakuna kikomo cha idadi ya mawakala (Life and Health Coach) wanaoweza kuwa katika makundi yote nane.

Hakuna maoni: