BONASI ZINAZOWIANA


Mpango wa Trévo wa utoaji wa bonasi inayowiana unazizawadia jitihada zako za uongozi


au usimamizi kadiri timu yako inavyorudufu mafanikio ya ujenzi wa timu unayoitengeneza.
Kila wakati mwanachama wa timu ambaye umemsajili wewe binafsi kama Wakala (Life
and Health Coach) mpya ambaye amenunua kianzio cha biashara, utapata mpaka 20% ya
bonasi inayowiana kulingana na sifa zako na mfumo wa kianzio ambao msajiliwa wako mpya
amejiunga.
Hivyo basi, kama utamsajili Wakala aliyechukua bidhaa ili aje kulipa baadae (Bill) mwenye mfumo wa kianzio kikubwa cha $450
(yaani Elite Director Power Start System) na Bill akamsajili Wakala mwingine mwenye mfumo wa kianzio cha $450, Wakala
aliechukua bidhaa ili aje kulipa baadae (Bill) atalipwa faida au kamisheni ya 40% na wewe utapata 20% ya bonasi inayowiana
kutoka katika faida au kamisheni ya Wakala aliechukua bidhaa ili aje kulipa baadae (Bill).
Hata hivyo, kama Wakala aliechukua bidhaa ili aje kulipa baadae (Bill) atamsajili mtu mwenye mfumo wa kianzio cha juu cha
yaani Executive Power Start System, kiwango chake cha juu cha faida au kamisheni yake kitakuwa dolaTZS 302,400 na bonasi
yako husika itakuwa dola TZS 60,480 kwa sababu wewe na Bill kila mmoja alikuja na mfumo wa kianzio cha dola 450. Tofauti
kati ya kamisheni yake na bonasi yako husika inakwenda mpaka kwa mtu wa kwanza ambaye anasifa kuwa katika mfumo wa
kianzio cha juu (yaani Executive Power Start System) na zaidi.
Ili kukuza kipato cha bonasi yako ni rahisi kuona kwamba ni lazima kujiunga na mifumo ya mwisho ya juu ya Trévo. Kumbuka
kuwa, hata kama utajiunga na Trévo kwa mfumo mdogo unaweza kupanda taratibu kwa mifumo ya nyongeza zinazojitokeza
kadri unavyouza bidhaa.

Hakuna maoni: