MPANGO WA FIDIA
Kwa nini utaratibu wa malipo wa Trévo unalipa sana?
Mpango huu wa fidia umetengenezwa kwa umakini kama
njia ya kukujengeauwezo wewe pamoja na ndoto zako. Kwa mpango huu
unawezakutengeneza pesa tangu siku ya kwanza, kutengeneza
kipato kikubwacha ziada, na kuzawadiwa vizuri kadri timu yako
inavyokuwa na kuendeleakupitia usimamizi wako.
Trévo hutumia mfumo wa fidia wa njia moja ambao ni mpya katika tasnia.Mfumo huu mpya wa pekee unakuwezesha wewe kunufaika kupitia kwa kilamtu anayejiunga na Trévo baada yako bila kujali kampuni wanayotoka
Trévo hutumia mfumo wa fidia wa njia moja ambao ni mpya katika tasnia.Mfumo huu mpya wa pekee unakuwezesha wewe kunufaika kupitia kwa kilamtu anayejiunga na Trévo baada yako bila kujali kampuni wanayotoka
.Mpango wetu wa fidia unajumuisha njia kuu nane za
kukufanya wewekutengeneza pesa kupitia Trévo, ambazo huweza
kukuandaa wewe namafanikio ya kuzifanya ndoto za maisha yako zijawe
na msisimko wa furaha,ziwe timilifu, vile vile ziwe na uhalisia wa uhuru
wa kifedha.Misheni yetu ya kweli katika Trévo ni kuzijengea
uwezo ndoto zako.
Hebu fikiria kulipwa
kwa ajili ya shughuli
ifanywayo na kila
anayejiunga na Trévo
baada yako.
Nguvu ya fursa ya Trévo imo katika
mpango wa fidia wa njia moja usio na
kifani. Unapokuwa sehemu ya Trévo,
kila anayejiunga na kampuni yetu kote
duniani baada yako anakuwa chini yako
na anachangia katika kipato chako….iwe
amejiandikisha kupitia wewe au la, awe
au asiwemo kwenye timu yako, na hata
kama yupo au hayupo katika nchi moja na
wewe.
Kwa maneno mengine, kila mmoja
anashiriki, na anafaidika na ukubwa wa
kampuni duniani kote. Hii inakupa wewe
fursa ya pekee ya kuwa sehemu ya brandi
ya mabilioni ya dola na kunufaika kutoka
katika brandi hii.
kwa ajili ya shughuli
ifanywayo na kila
anayejiunga na Trévo
baada yako.
Nguvu ya fursa ya Trévo imo katika
mpango wa fidia wa njia moja usio na
kifani. Unapokuwa sehemu ya Trévo,
kila anayejiunga na kampuni yetu kote
duniani baada yako anakuwa chini yako
na anachangia katika kipato chako….iwe
amejiandikisha kupitia wewe au la, awe
au asiwemo kwenye timu yako, na hata
kama yupo au hayupo katika nchi moja na
wewe.
Kwa maneno mengine, kila mmoja
anashiriki, na anafaidika na ukubwa wa
kampuni duniani kote. Hii inakupa wewe
fursa ya pekee ya kuwa sehemu ya brandi
ya mabilioni ya dola na kunufaika kutoka
katika brandi hii.
Maoni 5 :
sijaelewa trevo ni bidhaa gani?
Trevo ni nini?
· Bidhaa kutoka Marekani ambayo ndani yake kuna virutubisho 174
· Trevo imethibitishwa na ORAC,Cap-e ,Halal,Kosher,Vegetarian,na TFDA
kwa maelezo zaidi soma ukurasa ulio andikwa nyumbani
Naitwa lameck George:
Kampuni ya j for the great Naomba Inisaidie:
1.Kwa Mtu mwenye Kitambi/ mnene Trevo Inawezaje kumsaidia ili apunguze Unene huo?
2.kivip Trevo Inaweza Kunitoa Kimaisha naomba ufafanuzi Tafadhali.
ASante
Ahsante kwa swali Mr Lameck. Kwa MTU mwenye kitambi,unene au uzito Kwenye ukurasa ulio andikwa Nyumbani ndani ya kipengele kisemacho (Kudhibiti uzito yaani weight management) hapo ndipo tunaona nguvu ya Trevo namna inavyofanya kazi,
1. Jinsi ya kupunguza kitambi/nyama nyingi za Tumbo, tumia vijiko 2oz yaan kifuniko cha Trevo kunywa viwili au zaidi upendavyo kwan haina madhara ukizidisha, tumia Mara 3 kwa siku, Ili dawa ya Trevo ifanye kazi vizuri Na kwa uhakika Na ufasaha zaidi ni lazima ufanye mazoezi ya viungo Na kitambi kitaanza kuisha kadri utumiavyo dawa Na mazoezi.
Swali la pili nakujibu punde.AHSANTE KWA KUCHAGUA TREVO.
Asante kwa kusubiri Mr.Lameck.Napenda kukujibu swali lako kama ifuatavyo.Trevo inaweza kukutoa kimaisha pale utapo tia nia kwa njia hii,Mr.Lameck utakapoamua kujiunga Na Trevo kwa kununua chupa Tatu za mwanzo, waweza kurudisha gharama za manunuzi pale utapo ziuza tena kwa faida.Pia utanufaika zaidi pale utakapo fanikisha kumuunganisha MTU mwingine, kwani Trevo itakupatia asilimia arobaini ya kile alichotoa yule ulie muunganisha sawa Na laki Moja ya kitanzania.Nahapa utanufaika zaidi Na zaidi pale utapowaunganisha watu nao kuwaunganisha watu wengine zaidi.
Chapisha Maoni